Katiba ya Zanzibar ya 1984 toleo la 2010 ni katiba mpya iliyopitishwa na baraza la wawakilishi wa Zanzibar mwaka 2010 na kupitishwa kama katiba mpya ya Zanzibar.